Ijumaa Dar es Salaamaa Motooooo-Sikinde wakiwa Break Point katikati ya jiji Posted by jfk on March 02, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Katikati ya Jiji la Dar es Salaam, pale Breakpoint Bar kila Ijumaa ndo utalikuta kundi zima la Sikinde likikumbusha vibao kem kem vya bendi hiyo vinavyoendelea kutamba mpaka leo. Kama ni mpenzi wa Sikinde usikose ni raha tupu. Ally Jamwaka Yusuf Bernard Mjusi Shemboza Mgalus Hassan Rehani Bitchuka Comments
Comments