Thursday, May 5, 2011

A new band in town.

 Bendi mpya iko katika mazoezi makali na si nyingine bali ni Parapanda Band, iliyo chini ya kundi maarufu la Parapanda Theatre. Niliwakuta wako mazoezini katika eneo la makao yao makuu Mabibo
JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...