A new band in town. Posted by jfk on May 05, 2011 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Bendi mpya iko katika mazoezi makali na si nyingine bali ni Parapanda Band, iliyo chini ya kundi maarufu la Parapanda Theatre. Niliwakuta wako mazoezini katika eneo la makao yao makuu Mabibo Comments
Comments