Tuesday, April 10, 2012

Indongwa wimbo niliyoshirikiana na Anania Ngoliga, rimba na gitaa

Bela Flec, Anania Ngoliga na John Kitime
Indongwa  
 Hapa nikiwa na rafiki yangu Anania Ngoliga yeye akipiga Rimba na kuimba nami nikiimba na kupiga gitaa. Bonyeza neno hilo hapo juu usikie wimbo huo

Kanumba the musician Rest in Peace

Pamoja na vipaji vingine, Kanumba pia alikuwa anaweza kuimba, kupiga gitaa na kinanda.
The Late Kanumba with Mohamed 'Moddy' Mrisho of The Kilimanjaro BandWaziri Ally of The Kilimanjaro Band on stage with Kanumba performing a Simba wa Nyika song, Nakupenda Cherie

 Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba umsamehe dhambi zake na umlaze pema peponi 
Amina