Indongwa wimbo niliyoshirikiana na Anania Ngoliga, rimba na gitaa

Bela Flec, Anania Ngoliga na John Kitime
Indongwa  
 Hapa nikiwa na rafiki yangu Anania Ngoliga yeye akipiga Rimba na kuimba nami nikiimba na kupiga gitaa. Bonyeza neno hilo hapo juu usikie wimbo huo

Comments