Thursday, July 26, 2012

Ngoma Africa band kupewa Tuzo la kimataifa, " IDA - International Diaspora Award"

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "The Ngoma Africa Band" au maarufu kwa jina la "FFU"wazee wa virungu na makombora ya muziki, yenye makao yake nchini Ujerumani, imetajwa kuwa ni bendi bora inayoitangaza muziki wa Afrika kwa kasi duniani,na imechaguliwa kupewa tuzo maalumu la " IDA - International Diaspora Award"  award hiyo inatolewa na taasisi za kimataifa, itakabidhiwa kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU siku ya Jumapili ya 12-8-2012 katika sherehe maalum za Gala night zitakazo hudhuriwa na wageni mbali mbali wakiwemo watu maarufu duniani.
Sherehe za kukabidhiwa tuzo hiyo zitafanyika mjini Tubingen, mkoa wa Baden w├╝rttemberg, kusini mwa ujerumani.
Taasisi za kimataifa zinazoshughulika na utamaduni wa kimataifa kuanzia mwaka jana zilianza mkakati kutafuta bendi ya kiafrika inayolitangaza bara la Afrika kwa kutumia muziki, na kuweka utaratibu wa kuzipigia kura bendi
hizo katika tovuti mbali mbali online na offline,Ngoma Africa Band ikajichulia ushindi wa mamilioni ya kura, pia imegundulia kuwa bendi hiyi inakubalika na mamilioni  ya washabiki wa mataifa mbali mbali, 
Mzimu huo wa muziki kutoka Bongo unadaiwa kuwa na wafuasi milioni 50 duniani kote, hali hii inatishia maporomota wa muziki wa kimataifa, kuwa FFU ni mali ya mamilioni ya washabiki,ni bendi ambayo kipenzi
cha mamilioni ya washabiki......www.ngomaafrica.com

Jose Chameleone aongoza maandamano ya kudai passport yake


Mwanamuziki Jose Chameleone akiwa na wapenzi na mashabiki wake wamefanya maandamano yaliyoishia Ubalozi wa Tanzania mjini Kampala wakitaka Ubalozi huo kusaidia kurudishwa kwa passport ya mwanamuziki huyo inayodaiwa ilinyang’anywa na Eric Shigongo wa Tanzania. Bwana Shigongo ndie mwenye kampuni ya Global Publishers........Katika ukurasa wake wa Facebook Jose ameandika yafuatayo;
 I AM VERY DISAPPOINTED!
I WAS HIRED BY GLOBAL PUBLISHERS A TANZANIAN COMPANY, TO PERFORM AT THE NATIONAL STADIUM ON THE 7th July 2012.
I PERFORMED AS THE CONTRACT AGREED! ON SUNDAY 8th ONE ERIC SHIGONGO THE CEO GLOBAL PUBLISHERS CONFISCATED MY PASSPORT ALLEGING MY MANAGER HAD SWINDLED HIS 3500$, WHICH IN REAL SENSE WAS SWINDLED BY A KAMPALA CONMAN CALLED GEORGE.
I WAS ASSISTED BY THE UGANDAN EMBASSY IN DAR EL SALAAM, WHO GAVE ME A TEMPORARY DOCUMENT TO RETURN ME HOME.
ON RETURN TO UGANDA I HUNTED FOR THE CONMAN, ARRESTED HIM AND HANDED HIM OVER TO POLICE, WHO FREED HIM ON CONDITIONS I DON'T KNOW!
I EXPLAINED TO THE TANZANIAN AMBASSADOR AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN UGANDA FOR ASSISTANCE BUT SEEMS IN VAIN.
I HAVE UPCOMING PERFORMANCES IN
SOUTH AFRICA, ENGLAND,BELGIUM, NORWAY,SWEDEN, CANADA ETC!
SO IS ERIC SHIGONGO ABOVE THE LAW TO KEEP MY PASSPORT ILLEGALY?
AM I LIABLE TO HIS NEGLEGANCE THAT HE TRUSTED A CONMAN?
IS IT FAIR THAT AN UNAUTHORIZED TANZANIAN CITZEN CAN KEEP MY PASSPORT FOR OVER A MONTH?
I NEED ADVICE


Kwa picha zaidi ingia Chameleone Facebook

Wasanii tunakula mizikiii


Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...