Sunday, April 1, 2012

Msanii JanB atakuwa hewani katika DSTV kuongelea video yake


Msanii JanB atakuwa hewani katika DSTV channel 141, akiwa katika mahojiano kuhusu video yake itakayotoka karibuni 'Pretty Girl'. Katika mahojiano hayo ambayo pia kutakuweko na maelezo ya ziada ya jinsi video hiyo ilivyotengezwa yatarushwa siku ya tarehe 4 April 2012 saa 1 na nusu jioni. kwa maelezo zaidi pitia: http://www.janbonline.com/products/janb-on-ntv-april-4th-2012/

Borabora Band

Mary na Winnie

Anjelus Limpawe-Keyboards

Suleiman

Winnie

Mary

Jose Kasikile

Mkombozi Masikini


Ramadhani GojoHasim Donode


Borabora Band,hawa wanamuziki mahiri niliwakuta katika eneo la Malaika pale Mikocheni mkabala na Cine Club. 
Kila Ijumaa kundi hili huwepo kule Q Bar Oysterbay na Jumapili wapo hapo Malaika wakipimana nguvu na B Band ambayo huwepo nyumba ya pili tu pale CineClub.Ukiwataka piga simu +255713312211