Msanii JanB atakuwa hewani katika DSTV kuongelea video yake


Msanii JanB atakuwa hewani katika DSTV channel 141, akiwa katika mahojiano kuhusu video yake itakayotoka karibuni 'Pretty Girl'. Katika mahojiano hayo ambayo pia kutakuweko na maelezo ya ziada ya jinsi video hiyo ilivyotengezwa yatarushwa siku ya tarehe 4 April 2012 saa 1 na nusu jioni. kwa maelezo zaidi pitia: http://www.janbonline.com/products/janb-on-ntv-april-4th-2012/

Comments