Wednesday, April 13, 2011

The African Stars Band, Twanga Pepeta getting ready for shows in Muheza and Tanga

Nimewakuta baadhi ya wanamuziki wa Twanga wakiwa katika Kinyaia Pub wakisubiri kwenda kufanya onyesho Bilicanas na baada ya hapo kuanza safari ya kwenda Tanga. Wananambia watawahi kuwa Dar kwenye onyesho lao la Jumamosi. Safari njema guys. Some musicians from the The Great African Stars band were seen at Kinyaia's Pub just opposite their club waiting for the evening show at Club Bilicanas and later after the show the Band will head for Tanga and Muheza for shows. The band will be back in Dar for their usual Saturday show