Sunday, July 22, 2012

Extra Bongo waanza kufanya mambo Ulaya

Bendi ya Evtra Bongo chini ya uongozi wa Ally Choky imeanza kufanya mambo mazuri sana katika ziara yao ya Ulaya. Extra Bongo wataendelea na makamuzi siku ya Jumapili, 22 July 2012 katika jiji la Tampere, na siku ya Jumatano watakuwa Helsinki katika CLUB VENUE, POHJOISEN RAUTATIENKATU 21 HELSINKI FINLAND, KIINGILIO EURO 15.....TWAWATAKIA KILA HERIIKWA MAELEZO NA PICHA ZAIDI tembelea blog ya TUTAFIKA TU

Mshindi wa Singeli Michano ya EFM Mwanza apatikana

> Watanzania jana waliadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambara...