Extra Bongo waanza kufanya mambo Ulaya

Bendi ya Evtra Bongo chini ya uongozi wa Ally Choky imeanza kufanya mambo mazuri sana katika ziara yao ya Ulaya. Extra Bongo wataendelea na makamuzi siku ya Jumapili, 22 July 2012 katika jiji la Tampere, na siku ya Jumatano watakuwa Helsinki katika CLUB VENUE, POHJOISEN RAUTATIENKATU 21 HELSINKI FINLAND, KIINGILIO EURO 15.....TWAWATAKIA KILA HERII



KWA MAELEZO NA PICHA ZAIDI tembelea blog ya TUTAFIKA TU

Comments