Skip to main content

Posts

Showing posts from January 8, 2013

KALA JEREMIAH......HAKUNA KUKOSA

WASANII KUKAA UTUPU NANI ALAUMIWE?

Katika blogs na Facebook kumekuwa na mada inayojaribu kuzungumzia utamaduni mpya wa wasanii wa Tanzania kupiga picha za nusu-utupu au utupu kabisa. Majadiliano yamekuwa mengi yakianzia na shutuma na hata kashfa na matusi kwa wasanii hawa. Lakini tuangalie hili jambo kwa jicho la ukweli. 
Tukichukua usemi ambao wengi tunautamka, 'WASANII NI KIOO CHA JAMII', tabia hiyo haipashwi kulaumiwa wasanii pekee. Kwanza nitoe maelezo kuhusu huu usemi WASANII NI KIOO CHA JAMII- tafsiri yake mara nyingi sana hupotoshwa na kueleweka kuwa Jamii huangalia wasanii na ndipo hubadilika, bahati mbaya kinyume chake ndicho ukweli. ARTISTS ARE THE MIRROR OF THE SOCIETY. Wasanii wanaonyesha tu jamii ilivyo. Ukijiangalia katika kioo ukaona sura mbaya, ukaanza kulalamikia kioo, watu watakucheka, na ndicho ambacho kinaendelea sasa, tunalaani na kutukana kioo. Magazeti yetu maarufu yanayoitwa ya udaku, na waendesha blog wengi wamekwisha gundua hili kuwa jamii yetu inapenda sana hayo mambo ya kukaa nusu utu…

Embassy of the United Republic of Tanzania WASHINGTON DC, REKEBISHENI WEBSITE YENU INAKERA

NI ZAIDI YA MIAKA MITATU SASA UBALOZI WA TANZANIA-US TUNAUTAARIFU UBADILI HABARI TAARIFA ZISIZO SAHIHI KATIKA WEBSITE YAKE HAWATAKI. KAMA UNA NDUGU AU RAFIKI HUKO HEBU MBEMBELEZE WAONDOE AIBU HII......Music: The Tanzanian national anthem is titled “ Mungu Ibariki Afrika” (God Bless Africa), composed by a South African composer - Enock Sontonga. The song is also the national anthem of South Africa and Zimbabwe.

The music industry in Tanzania has evolved over the years. Due to the mixture of various cultures in Tanzania, native music is morphing into new music that is a combination of the old, new and imported sounds and rythms. Tanzanian musicians are among the the best in Eastern Africa. You have legendary artists such as RemyOngala, Dionys Mbilinyi, Sabinus Komba, Siti binti Saad, Bi Kidude, Saida Karoli, Hukwe Zawose Nasibu Mwanukuzi aka Ras Nas, Jah Kimbuteh and many others. You also have new vibrant artists such as Imani Sanga, Judith Daines Wambura Mbibo aka Lady Ja…