Timbulo, wimbo Domo Langu, umeiba au umeibiwa?

Hapa naweka video mbili DOMA LANGU ya Timbulo msanii wetu na YELELE ya X Maleya wa Cameroun. Swali nani mwizi hapa?Comments

Kupenda ni kitu cha ajabu sana...na watu husema mapenzi yana nguvu kuliko mauti...
Anonymous said…
Hapa inaonekana kuwa ni wimbo huo huo tofauti ni lugha tu,hata akiletwa mtaalam aandike hizo staff notes zitajisoma sawa tu,nina wasi wasi kuwa huyu mwanamuziki wetu wa bongo ndiye liyeiga,maana miondoko na feelings zote za huu wimbo ni wa huko Cameroon,vijana wetu wajitahidi kuumiza vichwa kutunga wenyewe na siyo kudokoa dokoa nyimbo za watu na kuziimba kiswahili,hii pia nimeiona sana ktk hip hop yetu ya bongo,sasa hivi sijui tuite vipaji au nini ?? vijana sasa wanaelekea pabaya kwa mtindo huu wa kuiga tusipoangalia tutapotea kabisa.
Abbu Omar,Prof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.