Mkurugenzi wa
Serengeti freight CHRIS LUKOSI akiwa pamoja na Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Kenya Mheshimiwa SAMUEL PHOGISO na mkurugenzi
wa Kenya Central Bank, Sudan branch, MARIHA NYALIET CHOL, bila kusahau
dada SHOSE KOMBE ambaye ni Mtanzania na ni customer service supervisor
wa KCB Tanzania. Kwenye mkutano huo ulioandaliwa na Ubalozi wa Kenya
hapa UK . Serengeti Freight ni
kampuni inayokua kwa kasi nchini UK na inategemea kufungua matawi mbali
mbali nchini KENYA na South Sudan
(Picha kwa hisani ya misterseed)
Comments