Skip to main content
|
ELLY CHINYAMA |
|
MASU |
|
KALONDA KAPIZO |
|
FANTASYA |
|
TOFFY |
|
PHAREED |
|
FATUMA |
Magoma Moto Sound Band ilianza 1995, ikiongozwa na John
Kitime. Na wanamuziki kama Luiza Nyoni, Yahaya Mkango, Juma Malembeka, kapizo
Kalonda, Modesta Nyoni (dada yake mkubwa wa Luiza), Joseph Watuguru, Albert
Chikopa, Ben Omary na wengine wengi walipitia katika kundi hili wakati huo. Kwa
sasa kundi liko chini ya Kapizo Kalonda, na sasa lina wanamuziki kama Elly Chinyama kwenye solo, Bija, Fantasya, Shaky na
mtoto wa mwanamuziki wa siku nyiki Anna Mwaole, Phareed Loukua ambae nae akiwa muimbaji kama mama yake.
Niliwakuta wakiporomosha muziki katika bar maarufu Mwenge inayoitwa Playtime
Bar, nilipanda na kushiriki kupiga nyimbo mbili ukiwemo wimbo wa Cuban Marimba
chini ya Salum Abdallah, Ngoma Iko
huku
Comments