Mdogo wake Isha Mashauzi naye aanza kutoa cheche Posted by jfk on July 18, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Saida Binti mdogo Saida, ambae ni mdogo wake wa nne wa Isha Mashauzi, ameanza kuonyesha cheche katika uimbaji wake na kuleta tegemeo la kuweza kufikia upeo wa dada yake. Salma ni mmoja wa waimbaji katika kundi la Mashauzi Classic Comments
Comments