Rogart |
Extra Bongo ni bendi iliyoko chini ya Ally Choky mwanamuziki muimbaji na mtunzi wa miaka mingi, kundi hili lililo kubwa kwa kufuata mfumo wa vikundi kama Wenge imekuwa na wapenzi kila kona nchini. Kuwepo kwa Banza , Rogart Catapillar, Ferguson, na mcheza show Aisha Madinda inaliweka kundi zima katika nafasi ya kutoa burudani kubwa ya upinzani kwa bendi nyingine zenye muziki unaofanana na wa bendi hii.
Choky |
Banza |
Hamza Kalala jukwaani |
Comments