Kundi la wanamuziki wakongwe limeingia kambini tayari kwa kufanya onyesho lao la Sabasaba kama walivyofanya mwaka jana, na pia mazoezi tayari kwa kutoa album ya miaka 50 ya UHURU. Wanamuziki hawa ambao wanafanya mazoezi katika eneo la mazoezi la Kilimanjaro Band, watakuwa mazoezini kila Jumatatu, Jumanne na Jumatano kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mzee Sangula Bass |
Mafumu Bilali |
Kanku Kelly |
Hamza Kalala |
Kasongo Mpinda Clayton |
Mzee King Kiki |
Comments