Wapiga drum wawili wafiwa na dada yao Posted by jfk on October 06, 2011 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Wapiga drums Martin Kibosho wa Extra Bongo, na James Kibosho wa Twanga Pepta,wamefiwa na dada yao Beatrice Kibosho aliezikwa katika makaburi ya Mburahati jana 6/10/2011 Comments
Comments