Kila mara kuwa jukwaa moja na Anania huwa ni raha ya pekee. Ni mwanamuziki mwenye uwezo unakufanya na wewe ujitahidi na hivyo kuishia kuwa na kitu kitamu zaidi.
Comments
Anonymous said…
Mze Kitime, utaanzisha lini bendi yako? Namiss sana mbwembwe zako jukwaani toka Tancut mpaka Sagha Rhumba, Balozi unatishaaaa na nakukubali ile mbaya!
Comments