| | | |
Ray Kigosi(Picha toka http://raythegreatest.blogspot.com/) | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | |
|
Swala la wasanii kuuza haki zao kwa
wasambazaji ni tatizo kubwa sana, kwani kiutendendaji msambazi anataka
haki tu za kusambaza, hivyo kumuuzia haki zote ni kupoteza haki nyingine
ambazo msanii angeweza kuzitumia kumuongezea kipato. Kwa mfano fedha za
matangazo katika filamu zingekuwa mali ya mwenye filamu ingekuwa
hakuuza haki zake zote. Mapato kutokana na filamu kurushwa hewani na
haki namna hiyo. Katika hali ambayo ni nadra kuisikia Ray Kigosi
amezungumzia hilo
BOFYA HAPA
Comments