RATIBA YA KUMUAGA MAREHEMU MZEE JAMES BUKUMBI, BABA MZAZI WA
MKURUGENZI MTENDAJI WA GLOBAL PUBLISHERS LTD, BW. ERIC SHIGONGO, LEO JUMATATU
27.8.2012
SAA 3 ASUBUHI-
MWILI KUFUATWA MOCHWARI LUGALO HOSPITAL
SAA 5 ASUBUHI- MWILI KUWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU
KIJITONYAMA
SAA 6 MCHANA- IBADA YA KUMUOMBEA MAREHEMU
SAA 7 MCHANA- SADAKA
SAA 8 MCHANA- KUAGA MWILI WA MAREHEMU
SAA 9 ALASIRI- KUELEKEA UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA
MWANZA SIKU YA JUMANNE
SHUGHULI ZITAKUWA KIJITONYAMA KARIBU NA HEKO MOTEL
Comments