Sunday, August 5, 2012

Mkutano wa viongozi wa bendi

Baraza la Sanaa la Taifa kwa ushirikiano na CHAMUDATA, linawaalika viongozi wote wa bendi, kuhudhuria kikao juu ya Tamasha Hai la Muziki siku ya Jumanne pale Afri Center Ilala, kuanzia saa 5 asubuhi 

No comments:

JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, ...