Ijumaa tarehe 8 Oktoba ilikuwa siku changamfu pale Serena Hotel, ambapo Fabak Fashions walifanikiwa kufanya onyesho la tano la Kanga za Kale. Katika korido ya kuingilia ukumbi kulikuweko na maonyesho ya kanga za aina tofauti na ndani kulikuwa na maonyesho ya wabunifu mbalimbali walioonyesha staili mbalimbali za mitindo kutumia khanga.
Mgeni Rasmi alikuwa mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania. Kundi la Isha Mashauzi lilitoa burudani kusindikiza shuguli hii iliyofana. Angalia picha za matukio
Mgeni Rasmi alikuwa mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania. Kundi la Isha Mashauzi lilitoa burudani kusindikiza shuguli hii iliyofana. Angalia picha za matukio
Comments