Miss East Africa Belgium 2012...tumuunge mkono


Miss East Africa Belgium 2012


Huyu ndiye mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali za Miss East Africa Belgium zitakazofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre
 Ili kumuunga mkono, unaingia kwenye ukurasa wake wa Facebook (https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012) na ku'Like' ili aongeze idadi ya kufahamika kwake. Tumuunge mkono mwakilishi wetu huyu kwa kupitia ukurasa wake wa Facebook 

Comments