Mratibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania
Music Awards 2013,kutoka BASATA Bwana Anjelo Luhala akitangaza majina ya walioteuliwa
kuingia kwenye mchakato wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Juni 8, 2013, Mlimani City jijini Dar.
WIMBO BORA WA MWAKA
Dear God - Kala Jeremiah
Leka dutigite - Kigoma all star
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Pete- Ben pol
MSANII BORA WA KIUME
Ben Pol
Diamond
Linex
Mzee Yusuf
Ommy Dimpoz
MSANII BORA WA KIKE
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Lady Jaydee
Mwasiti
Recho
MSANII BORA WA KIKE -
TAARAB
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Khadija Yusuph
Leila Rashid
MSANII BORA WA KIUME -
TAARAB
Ahmed Mgeni
Hashim Said
Mzee Yusuf
MSANII BORA WA KIUME -
BONGO FLAVA
Ally Kiba
Ben Pol
Diamond
Linex
Ommy Dimpoz
MSANII BORA WA KIKE - BONGO
FLAVA
Linah
Mwasiti
Recho
Shaa
MSANII BORA WA HIP
HOP
Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Profesa J
Stamina
Comments