Skip to main content
|
Walter Chilambo |
|
Salma Yusuph |
Hatimae Epic Bongo Star Search yafikia fainali, mshindi wa kwanza ni Walter Chilambo na wa pili ni Salma Yusuph. Walter ameondoka na kitita cha shilingi milioni hamsini. Hongera Walter, una sauti nzuri sana, Mungu akusaidie upate watu watakaokuongoza vizuri kwenye muziki.
Comments