Skip to main content
JE UNATAKA KUSHIRIKI TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2017
WAHI KUJAZA FOMU ZA MAOMBI. TAREHE YA MWISHO YA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 31 JULY 2016
TAMASHA hili ni pia linakaribisha wasanii kutoka nchi za kiarabu na nchi zinazoguswa na Bahari ya Hindi.Ili kushiriki unatakiwa utume cd au DVD 2 za kazi uliyorekodi karibuni, maelezo yako mafupi na picha mbili zenye ubora.Fomu za maombi zinapatikana kupitia anwani hii application form
Comments