The International African Festival Tubingen, ambalo kwa sasa
linajulikana kama “AfricActiv” limetimiza
toleo la 3. Na katika onyesho la mwisho magazeti ya Tubingen yanakisia
kuwa watu 15,000 walihudhuria
Tamasha hili.
CEO na muasisi wa Tamasha hili Bi Susan Tatah alisema Tamasha
hili litakuwa ndio Tamasha kubwa la muziki wa Kiafrika katika Ulaya. Mwaka huu kumekuweko na watu waliotoka moja
kwa moja toka Afrika kutoka nchi kama Burkina Faso, Mali na Kenya kwa ajili ya
Tamasha hili, na kulikuweko na Bloggers zaidi ya milioni 25 kutoka Afrika hasa
Afrika ya Mashariki waliyoongelea na kufuatilia shughuli za Tamasha hili.
Tamasha hili lilionyesha Afrika ni nzuri na ina mengi yenye utamu wa asili
Katika Tamasha hili Bendi ya Ngoma Africa chini ya
uongozi wa Ibrahim Makunja iliweza kupata International Diaspora Award kama
moja ya vikundi vilivyofanya kazi nzuri katika Tamasha hili. Bi Susana aliomba
vikundi vianze kujisajili kwa ajili ya kushiriki tamasha hili 2013,
litakalofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 11 August 2013
Comments
obtain fastidious information from here all the time.
Here is my weblog ; car donation tips