Ratiba Ya wiki ya Orginal Dar Musica

Ratiba Ya Orginal Dar Musica  chini Ya Mkubwa Jado FFU Mlezi wa Wana, Power Bank, Kichwa Cha Treniiiii, Mbishi wa Maisha, Asiyeogopa Vita,

 Kila Jumatano Club Kwetu Pazuri Tabata

Alhamisi Ni Palm View Kigogo 

Ijumaa Ni Monie Yombo Jet Lumo Kwa Jimmy Ajent 

Jumamos Ni Itungi Lounge Vingunguti 

Jumapili Ni Friends Pub Segerea Bonanza 

Karibun sana Wadau Wote Mcheze Kibos Bos

Comments