Kuna watu wenye busara na wanaoaminika hapa Bongo
wanadai Filamu sio sanaa. Wenyewe walioanzisha
fani hiyo na wenye uzoefu mkubwa wanaiita ni sanaa, na pia kusisitiza kujenga taratibu ili sanaa
hii ifundishwe mashuleni kwao kuanzia shule za awali. Je tutawakuta hawa kweli kwa msimamo huo? …..
Under new
proposals, children would be schooled in the history of British film and be
taught about the mechanics of film-making in order to encourage a new
generation of scriptwriters, directors and behind-the-camera technicians.
“Unlike
other art forms - literature, theatre or music, for example - film has yet to
find its rightful place in education,” said the government-commissioned report
into the future of the British film industry….Habari yote BOFYA HAPA
Kwanini
hapa Bongo filamu inaitwa si sanaa? Je ni kwa kutokuelewa fani? Au kwa kuogopa
kuwa filamu ikiitwa sanaa italazimika kuwa chini ya BASATA hivyo baadhi ya watu
kuona wadhifa wao utashuka? Maswali ni mengi sana kwanini kuna msimamo huu wa
ajabu? Soma hapa baadhi ya mitizamo duniani
Comments