MWANAMUZIKI MPYA WA MUZIKI WA INJILI, ANA UMRI WA MIAKA 5

Baby Nito ni mtoto wa miaka mitano. Mama yake Natasha Maige Lisimo ni muimbaji wa muda mrefu anaejulikana zaidi kwa jina la Kadjanito. Huu ni wimbo wake wa kwanza akieleza anavyompenda Yesu na kumuomba amuongoze. Msikilize hapa

Comments