JUDITH KIULA MUIMBAJI MPYA WA GOSPEL

Judith Kiula ni mwenyeji wa Singida aliyezaliwa na kukulia Morogoro,  alizaliwa Kizuka hospital, na akaanza shule Kizuka primary school, akajiunga na
Tumaini Lutheran seminary, baadae akajiunga Dakawa High School na kisha Institute of finance Management.
Judith alianza kuimba tangu akiwa mdogo wakati wa Sunday school na katika kwaya mbali mbali za mashule nk.Kwa mara ya kwanza alirecord wimbo mwaka 2011 lakini haukupokelewa vizuri, na sasa amerudi tena na anatarajia kukamilisha album yake yenye nyimbo 8 kabla ya mwisho wa mwaka huu. Ila kwa sasa yuko tayari kukaribishwa kwenye maonyesho ya muziki wa Gospel popote pale. Sikiliza hapa uwezo wake

Comments