BELLE 9 ATOA KIBAO KIPYA ' MFALME' BELLE 9 ametoa kazi yake mpya inaitwa Mfalme, Isikilize hapa baada ya kusikiliza akijibu maswali ambayo ameulizwa kuhusu kazi yake hiyo..............................................


MASWALI

1.    Kiti cha Ufalme kwenye Muziki wa BongoFlava kimekuwa kikigombewa na wasanii wengi kwako ikoje? Na idea ya Ufalme ilikuaje ukaihusisha kwenye mapenzi?
2.    Ngoma imepikwa na producer gani na mlikutana vipi?
3.    Umeachia ngoma zaidi ya tatu kwa mfulululizo ukiwa umefanya na maproducer wasiokuwa na majina imani yako kwako ikoje?
4.    Hivi karibuni Nuruelly alidai muziki wa RNB Bongo umekufa kutokana na wasanii wanaofanya muziki huo kuswitch na kufanya rnb yenye vijionjo vya Nigeria inaweza kuwa sababu moja yako ya ngoma ya Mfalme kuifanya katika miondoko ya RNB?
5.    Kwa kipindi kifupi umeachia ngoma 4 kwa mpigo ni nini ulichoki-target katika muziki wako?
6.    Video yako itatoka lini?
7.    Ulikuja na style ya kusuka vipi kuhusu kuchora tattoo sehemu yoyote katika mwili wako?
8.    Mwonekano wa msanii kimavazi, nywele, tattoo nk…. Unatafsiri ipi kwa msanii?
9.    Katika List ya ngoma zako ni ngoma gani ambayo hutoisahau uliirekodi kipindi ambacho huna furaha au majonzi?
10.                      Ni ngoma zipi unazozikubali kwa muda wote katika muziki wa Bongo Flava?

11.                      Neno lako la Mwisho kwa Fans wako?

Comments