DR Harrison Mwakyembe aapishwa -Video


Rais akimpa mkono Waziri mpya wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo mara baada ya kumuapisha(Picha kwa hisani ya www.issamichuzi.blogspot.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amemwapisha Waziri mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe.

Comments