K–RECORDS yaja na wimbo na video mpya kutoka kwa msanii mahiri wa miondoko ya
Afro-pop Tanzania BROWN PUNCH, iendayo kwa jina la TINGAIVA.
Wimbo
huu umerekodiwa chini ya usimamizi wa mtayarishaji mahiri na mwenye
kipaji cha aina yake MUCHMORE katika studio za K–RECORSD jijini Dar es
Salaam.
Comments