TAMASHA LA MUZIKI LA EAST AFRICA VIBES JUMAMOSI HII NAFASI ART SPACE , WAHI TIKETI ZINAPATIKANA!


mtukudzi550(2)
Oliver Mutukudzi
maxresdefault
Slim Emcee
index
Eric Wainaina
  Tamasha la East Africa Vibes litafanyika Jumamosi hii pale Nafasi Art Space mikocheni. Tiketi zimeanza kuuzwa - Unaweza kununua ukifika Nafasi Art Space au weka oda kupitia mtandaoni: www.timetickets.net Tamasha litakuletea wanamuziki maarufu kama Oliver "Tuku" Mtukudzi (Zimbabwe), Eric Wainaina (Kenya), Slim Emcee (Uganda), Wahapahapa Band (Tanzania) na wengine wengi. Tiketi Maalumu ni Sh 50,000/ tu! na Za kawaida ni Sh 20,000/. Si ya kukosa

Comments