WAZIRI WA FEDHA ATAJA WASANII KATIKA HOTUBA YAKE YA BAJETI

(iii)  Wasanii, Wabunifu na Wanamichezo
  1. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2016/17 Serikali kupitia Fungu 96 imetenga jumla ya shilingi bilioni 3.0 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya sanaa, ubunifu, utamaduni na michezo ikiwa ni pamoja na: kuratibu na kusimamia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa na Ubunifu; kusimamia urasimishaji wa shughuli za   Sanaa; kusimamia na kudhibiti filamu zitakazoingia sokoni bila kufuata taratibu; na kuratibu uendeshaji wa kazi za sanaa nchini.

Comments