Filamu mpya imetolewa huko Uingereza ikielezea kuwa Bi Kidude aliwahi kutekwa na kufichwa na mpwa wake aitwae Baraka, ili kumlindas kutoka kwa watu waliokuwa wakimnyonya kimuziki, filamu hiyo ambayo maelezo yake yanapatikana katika gazeti la Guardian la Uingereza unaweza kuyasoma hapa
Comments