MSANII UNAJUA KUTUMIA MAIK?ANGALIA VIDEO YA UTUMIAJI BORA WA MAIK


Mara nyingi huwa tunazipata picha za wasanii wetu waimbaji wakiwa wameshika microphone wanaimba au kuchana mistari. Kutokana na wao kuona picha za marapa wengine jinsi wanavyoshika maik nao huiga ushikaji huo. Bahati mbaya sana mara nyingi ushikaji wa maik huwa si sahihi......INAENDELEA HUKU

Comments