KUNDI la G5 Modern Taarab ambalo leo litavaana na Wakali wa Kisigino ‘Twaga Pepeta’, jana lilifanya shoo ya kujiweka sawa, kwenye ukumbi wa Flamingo Night Club, Magomeni, jijini Dar es Salaam.
Pambano la leo kati ya wakali hao wa Dansi na Taarab, limepangwa kurindima kwenye ukumbi wa Equator Grill, Mtoni Kwa Azizi Ally, jijini Dar es Salaam, kuanzia majira ya saa 3:30 na kuendelea hadi majogoo.Blog hii itakayekuwapo kwenye ukumbi wa Equator baadae usiku kuwaletea kitakachojiri, viongozi wa makundi hayo wote walionyesha kujiamini kwa kudai wamejiandaa kikamilifu.

Comments