AFRICAN MUZIK MAGAZINE AWARDS (AFRIMMA) ni Tuzo lilnalohusu watu weusi hasa wale ambao ni Waafrika waliohamia Magharibi. Ni Tuzo inayoangalia aina zote za muziki ukiwemo Afrobeats, Assiko, Bongoflava, Decale, Funana, Genge, Highlife, Hiplife,
Kwaito, Lingala and Soukous na kadhalika. Kutokana na muziki wa Afrika kushika kasi katika kuingia kutambuliwa rasmi duniani, AFRIMMA waliona watengeneze jukwaa la kuwatambua wasanii wa Afrika katika nyanja ya muziki, na katika kufanya hivyo kuwa na usiku ambao wasanii mbalimbali makini wa Afrika huwa pamoja na kufurahi. Kwa mara ya kwanza tuzo hizo zimefanyika tarehe 26 July 2014 Eisemann Center Richardson Texas. Wanamuziki wa Tanzania Lady JD na Diamond waliweza kupata tuzo katika siku hiyo. Orodha nzima ya waliopata tuzo ni kama ifuatavyo:
Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)
Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)
Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)
Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)
Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)
Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)
Best African Group 2014- P-square (Nigeria)
Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)
Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)
Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)
Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)
Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)
Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)
Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)
Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)
Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)
Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)
Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)
Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)
Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)
Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
Leadership in Music Award 2014- 2face Idibia
Legendary Award 2014- Yvonne Chaka Chaka
Transformational Leadership Award 2014- Chief Dr. Godswill Akpabio
Comments