Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band aka FFU au wenyewe wanajiita "Viumbe wa Ajabu" au "Anunnaki
alien" au "Watoto wa mbwa", walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya Jumamosi tarehe 7 Juni, 2014 pale mjini Dortmund,Ujerumani. Ngoma Africa walitimua vumbi hilo katika tamasha la Challenge
Festival liloandaliwa na umoja wa WaCameroune walioko nchini Ujerumani. Kwa kuzisikiliza kazi za bendi hii kali ingia
www.ngoma-africa.com
Comments