MWILI WA GEORGE TYSON KUAGWA JUMATANO

Mwili wa George Tyson utaagwa kesho Jumatano tarehe 4 June 2014,kuanzia saa 4 katika viwanja vya Leaders Club, kisha kuondoka kwa ndege kuelekea Nairobi na hatimae Kisumu ambako atazikwa.

Comments