JOHN KITIME AKIWA IDARA YA SANAA CHUO KIKUU AKIFUNDISHA WIMBOMwanamuziki John Kitime alikuwa na darasa ambapo aliweza kufundisha wimbo kwa ajili ya bendi hii ya wanachuo wanaojifunza sanaa katika Idara ya Sanaa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wanafunzi hawa mchanganyiko wa WaTZ na wengine waliweza vizuri sana kuimba wimbo wa Kihehe.

Comments