GEORGE TYSON, ALIYEKUWA MUME WA MSANII MONALISA AFARIKI DUNIA USIKU HUU

HABARI ZA UHAKIKA NI KUWA TASNIA YA FILAMU IMEPATA PIGO JINGINE KUBWA BAADA YA DIRECTOR  MKUBWA GEORGE TYSON KUFARIKI DUNIA. GEORGE AMEPOTEZA MAISHA YAKE BAADA YA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA DODOMA KUPINDUKA ENEO LAGAIRO BAADA YA TAIRI KUPATA PANCHA. TYSON ALIWAHI KUWA MUME WA MUIGIZAJI MAARUFU MONA LISA NA WAKAWEZA KUPATA MTOTO WA KIKE SONIA.
MUNGU AMLAZE PEMA TYSON NA AWAPE UVUMILIVU WAFIWA

PICHANI GEORGE TYSON AKIWA KATIKA  SHEREHE YA KIPAIMARA YA BINTI YAKE SONIA MWISHONI MWA MWAKA JANA

Comments