Mzee Gurumo katutoka. Mungu Amlaze Pema Peponi


Mwanamuziki muimbaji wa miaka mingi Mzee Muhidi Maalim Gurumo hatunae tena. Mzee Gurumo amefariki alasiri hii katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Mungu amlaze Pema Peponi Amin

Comments