Dullah Mnanga yule wa msondo, Kilimanjaro ,Watafiti na Tatunane



DULLAH ni mmoja wa wanamuziki wa awali wa Kilimanjaro Band, aliacha bendi na kujiunga na kundi la Watafiti ambalo hatimae likawa TatuNane, kwa sasa Dullah yuko Denmark akiendelea na muziki hebu tumuone hapa akiwa jukwaani katika show moja ya Copenhagen Festival, ambapo mpenzi mmoja wa muziki alipanda na kuanza kumwaga nyonga za nguvu. Waliomo katika bendi hii Dulla Mnanga band ni: Dulla Mnanga: Vocal, guitar, percussions,
Carsten Svanberg: Keyboards.
Kristian Hybel: Bass. guitar
Katrine Suwalski: Sax, backing vocals, percussions.
Peter Suwalski: Drums.
Camilla Groth Clausen: Percussion.  Ukitaka kujua zaidi kuhusu kundi hili ingia www.facebook.com/dullamnangaband.
Kwa kukodi: PeterJ@Suwalski.Com.

Comments