Thursday, March 20, 2014

THE MARK INTERNATIONAL BAND kuanza maonyesho Dar baada ya safari ndefu nje ya nchi

THE MARK INTERNATIONAL BAND, baada ya safari ndefu ya kimuziki iliyowapeleka nchi kama CHILE, PERU, FRANCE, AND UKRAINE, sasa wamerudi tena nyumbani. Na Jumamosi hii tarehe  22/03/2014 watakuwa katika hoteli ya Sea Cliff -Karambezi Cafe, kuanzia saa 12 jioni . Jumapili watakuwa NEW"S CAFE Baines Singh Street- Masaki kuanzia saa 12 jioni. Wote Mnakaribishwa

No comments:

VIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA KAZI ZAO HAPA, KWA SASA KILICHOBAKI JINA WASANII...