Jana ilikuwa Valentine, kumbi mbalimbali zilikuwa na maraha
ya aina mbalimbali niliweza kuonja raha hizo. Escape One Mlalakuwa kulikuwa na
Odama band, Juma Kakere na bendi yake, binti mdogo mwenye sauti tamu, Kadija,
Linex na Kilimanjaro Band, baada ya hapo likafuatia disco la muziki wa zamani
kidogo mpaka alfajiri. Letasi Pub pale Victoria Mapacha Watatu na ndugu zao
Akudo Band waliliporomosha rumba usiku kucha, jirani hapo Mzalendo Pub, African Stars wana
Twanga Pepeta walikuwapo. Kiukweli siku ya wapendanao kwa eneo hili ilifana
sana.
MAMBO YA ESCAPE ONE
|
ODAMA BAND |
|
WATANGAZAJI WA RADIO CLOUDS WALIAMUA KUPANDA JUKWAANI NA KUIMBA, SITAKI KUSEMA KITU, ALIYEKOSA UTAMU KAKOSA |
|
JUMA KAKERE NA BENDI YAKE |
|
WANANJENJE---NYOTA YULEEEEE AKIFANYA MAMBO YAKE KAMA KAWAIDA |
Comments